Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Reli Tanzania TRC Masanja Kadogosa tarehe 22 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania
TRC Masanja Kadogosa akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini
Dar es Salaam. PICHA NA IKULU



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...