Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia akiweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Rashid Hadidi Rashid na Sheikh Fesal msimamizi wa ujenzi wa Msikiti huo, ufunguzi huo umefanyika kabla ya Sala ya Ijumaa leo 28-5-2021
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua rasmin Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Unguja baada ya kukamilika ujenzi wake na (kushoto kwa Rais) Msimamizi wa ujenzi wa msikiti huo Sheikh Fesal na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.Mhe Rashid Hadidi Rashid, ufunguzi huo umefanyika kabla ya Sala ya Ijumaa.
Waumini wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wananchi wa Bambi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, hafla hiyo imefanyika leo 28-5-2021.(Picha na Ikulu.)
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...