Mkurugenzi wa Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation Rosalynn Mworia akisalimiana na Waziri wa Muungano na Mazingira Mh. Selemani Jafo wakati alipomtembelea ofisini kwake ikiwa ni maandalizi kuelekea siku ya kimataifa ya mazingira duniani, Vodacom ilipofanya ziara fupi ya miradi ya mazingira mkoani Dodoma, Vodacom ni mojawapo ya wadau katika miradi endelevu inayolinda mazingira nchini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
VODACOM WATAFADHIRI USHIRKI WA ASASI ZA KIRAIA KUSHIRIKI MAONYESHO HUSIKA
ReplyDelete