Diwani wa viti maalum ,Kibaha Mjini ,Lidya Mgaya,akiwa anachimba msingi kuashiria kuunga mkono ,juhudi za wananchi ,kata ya Misugusugu kuchimba msingi wa ujenzi wa shule ya msingi ya Kalabaka.Kukamilika kwa  ujenzi wa shule hiyo ya msingi utasaidia kuondoa kero kwa wanafunzi wa eneo hilo kwenda kufuata elimu umbali mrefu.(picha na Mwamvua Mwinyi)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...