Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba akionyesha Mkoba wa Bajeti Kuu ya Serikali yenye mapendekezo ya mpango wa tatu wa maendeleo wa taifa wa miaka mitano 2021/22
–
2025/26, inayowasilishwa hivi sasa, Bungeni jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba akiingia bungeni tayari kwa kuwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali yenye mapendekezo ya mpango wa tatu wa maendeleo wa taifa wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasilisha bungeni Bajeti Kuu ya Serikali yenye mapendekezo ya mpango wa tatu wa maendeleo wa taifa wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...