Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (wapili kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama, Mussa Zungu(wakwanza kulia) na Inspekta Jenerali wa Polisi nchini, Simon Sirro(wapili kulia), wakitoka ndani ya Kituo cha Polisi Oysterbay ikiwa ni ukaguzi wa Mradi uliohusisha kituo hicho, nyumba za polisi zilizopo Mikocheni na Kunduchi.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama, Mussa Zungu akiongoza msafara wa kukagua Mradi wa Nyumba za Polisi Mikocheni(zinazoonekana pichani) ambapo mradi huo unahusisha Kituo cha Polisi Oysterbay,Nyumba za Makazi ya Askari zilizopo Kunduchi na Mikocheni.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama, Mussa Zungu akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (katikati),wakati wa ziara ya Ukaguzi wa Mradi  unaohusisha Kituo cha Polisi Oysterbay,Nyumba za Makazi ya Askari zilizopo Kunduchi na Mikocheni.Kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,Simon Sirro na wengine ni wajumbe wa kamati hiyo na watumishi wa wizara.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...