Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na Naibu Spika wa Kwanza wa Bunge la Malawi, Madalitso Kazombo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 8, 2021
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Spika wa Kwanza wa Bunge la Malawi, Madalitso Kazombo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 8, 2021
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (wanne kushoto) katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Malawi wakiongozwa na Naibu Spika wa Kwanza wa Bunge la Malawi, Madalitso Kazombo (watatu kushoto) walipomtembelea leo nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, Juni 8, 2021
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...