RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na kutowa
mkono wa pole kwa Wanafamilia wa marehemu Zainab Makame Pandu, alipofika
katika Kijiji cha Bwejuu baada ya kumaliza Ibada ya Sala ya
Ijumaa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana
na Wananchi wa Kijiji cha Bwejuu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa
iliofanyika katika Masjid Jamaa Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja.(Picha
na Ikulu)
MBUNGE wa Jimbo la Mhe Jaffar Sanya akiwa na Wananchi wa Bwejuu wakiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Sheikh Khalid Ali Mfaume.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Jamaa Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...