Wizara ya Elimu Sayansi na Tekinolojia kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imekamilisha Uandishi wa vitabu aina 29 vya Kiada kwa Shule za Sekondari.Vitabu hivyo ni:

1.Biology Kidato cha Kwanza
2.Biology kidato cha Pili
3.Biology Kidato cha Tatu
4.Home Economics Kidato cha Kwanza
5.Home Economics Kidato cha Pili
6.Kiswahili Kidato cha Kwanza
7.Kiswahi Kidato cha Pili
8.Kiswahili Kidato cha Tatu
9.Civics Kidato cha Kwanza
10.Civics Kidato cha Pili
11.Physics Kidato cha Kwanza
12.Physics Kidato cha Pili
13.Chemistry Kidato cha Kwanza
14.Chemistry Kidato cha Pili
15.ICS Kidato cha Kwanza
16.ICS Kidato cha Pili
17.ICS Kidato cha Tatu
18.Basic Mathematic Kidato cha Kwanza
19.Basic Mathematics Kidato cha Pili
20.Basic Mathematics Kidato cha Tatu
21.Basic Mathematics Kidato cha Nne
22.Geography Kidato cha Tatu
23.Geography Kidato cha Nne
24.History Kidato cha Tatu
25.English Kidato cha Tatu
26.English Kidato cha Nne
27.English Listening activities Kidato cha Tatu na Nne
28.Agriculture Kidato cha Kwanza
29.Angriculture Kidato cha Pili.


Vitabu hivi sasa vipo katika hatua ya kupitiwa na kupewa ithibati na Kamishna wa Elimu pamoja na jopo lake. Kazi hii ya kutoa idhibati aina 29 imeanza kufanyika kuanzia tarehe 02/06/2021 na inatarajiwa kumalizika tarehe 10/06/2021, ikiwa na washiriki mbalimbali wakiwemo Walimu wa vyuo Vikuu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar,Taasisi Mbalimbali pamoja na Wakuza Mitaala kutoka TET.Kukamilika kwa kazi hii kutapelekea kupunguza kwa kiasi kikubwa changamoto ya upatikanaji wa vitabu vya Kiada kwa Shule za Sekondari.





Wataalamu mbalimbali wakiwa katika  jopo la Kamishna wa Elimu la kupitia vitabu aina 29 vya Kiada kwa Shule za Sekondari kwa ajili ya kupatiwa ithibati.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...