Mhandisi Mkazi wa Mradi wa Uzalishaji Umeme wa Maji wa Julius Nyerere, Eng. John Mageni (kushoto) akitoa maelezo ya utekelezaji wa mradi kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (wapili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (watatu kulia) wakati ujumbe wa benki hiyo ulipotembelea mradi huo unaofanyika katika bonde la mto Rufiji. Wa mwisho pichani ni Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Eng. Pakaya Daniel.

Mhandisi Mkazi wa Mradi wa Uzalishaji Umeme wa Maji wa Julius Nyerere, Eng. John Mageni akitoa maelezo ya utekelezaji wa mradi kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakati ujumbe wa benki hiyo ulipotembelea mradi huo unaofanyika katika bonde la mto Rufiji. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Umeme, Eng. Pakaya Daniel na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati) akiteta jambo na Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Umeme, Eng. Pakaya Daniel wakati ujumbe wa benki hiyo ulipotembelea mradi huo unaofanyika katika bonde la mto Rufiji. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay.
Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Umeme, Eng. Pakaya Daniel akizungumza na ujumbe wa benki ya CRDB  uliotembelea Mradi wa Uzalishaji Umeme wa Maji wa Julius Nyerere wa unaofanyika katika bonde la mto Rufiji.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...