“Nilivutiwa kujiunga na Bolt baada ya kuona marafiki zangu wakifanikiwa na huduma hiyo. Sijutii uamuzi huo. Katika miaka mine ambayo nimefanya kazi na Bolt, nimeweza kutunza familia yangu, nimejenga nyumba ya vyumba vitatu huko Kimara tunapoishi na pia nimeweka akiba ya pesa za kutosha kupata kiwanja cha pili ambapo nina mpango wa kujenga nyumba ya pili.
Nimefanikiwa pia kuwekeza katika biashara zingine kupitia mfumo huu wa usafiri wa mtandao wa Bolt. Mimi ni mmiliki wa kujivunia wa duka la vyakula na genge la mboga ambapo nimeajiri jamaa zangu ambao wananisaidia kuendesha biashara yangu.
Ninashauri vijana ambapo wameajiriwa au wasiojiriwa kujiunga na Bolt na kuona maisha yao yakibadilika kama yangu”. Dereva Bolt – Hilary Salustiani Tesha, mkazi wa Kimara – Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...