RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Chaani Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa Madarasa mapya manane ya Skuli hiyo.(Picha na Ikulu)
WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi ya Chaani Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) baada ya kuwafungulia rasmin madarasa yao mapya manane ya Skuli hiyo.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali
Mwinyi akipiga makofi wakati wa Meneja Mkuu wa Hoteli ya Riu Palace
Zanzibar Ndg.Hamad Zaied akimkabidhi Komputa kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli
ya Msingi ya Chaani Bi.Latifa Masoud Issa, wakati wa hafla ya ufunguzi
wa Madarasa manane mapya ya Skuli hiyo yaliojengwa na kukamilika kwa
ajili ya Wanafunzi wa Skuli hiyo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu
na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na (kulia kwa
Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.(Picha
na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...