Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Wananchi Dumila Wilayani Kilosa alipokuwa njiani
akirejea Jijini Dodoma leo Julai 08,2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akizungumza na wananchi wa Gairo wakati akimalizia ziara yake ya siku
mbili mkoani Morogoro leo tarehe 08 Julai, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akiwapungia mkono wananchi pamoja na Wasanii mara baada ya kuhutubia
wananchi wa Dumila mkoani Morogoro leo tarehe 08 Julai, 2021.
Wasanii
mbalimbali kutoka Dar es Salaam wakimpungia mkono Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan mara baada ya
kuwahutubia wananchi wa Dumila mkoani Morogoro leo 08 Julai, 2021.Wananchi
wa Dumila wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan mara baada ya kusimama katika eneo hilo
leo 08 Julai, 2021. PICHA NA IKULU











Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...