Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwenye Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Umma, Bi. Beatrice Ollotu.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo, akipewa maelezo na Afisa Uhusiano wa Umma, Bi. Beatrice Ollotu, kuhusu elimu na huduma zinatolewa katika banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwenye Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo, akizungumza na Mchambuzi wa Masuala ya Fedha Mwandamizi, Bw. Ephraim Madembwe kuhusu Dhamana za Serikali alipotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwenye Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo, akipewa maelezo kuhusu Dawati la Utatuzi wa Malalamiko ya Wateja wa Huduma za Kibenki alipotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwenye Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo, akipewa maelezo na Afisa Uhusiano wa Umma, Bi. Beatrice Ollotu, kuhusu Chuo cha Benki Kuu ya Tanzania Mwanza.


Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo, akipewa maelezo na Afisa Benki Mkuu Mwandamizi, Bi. Restituta Minja, kuhusu uchakataji wa noti alipotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwenye Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...