Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Mgharibi Mhe.Idrisa Kitwna Mustafa wakati alipotembelea Mradi wa ujenzi wa Matangi ya Maji wa Exim Banki akiwa katika ziara yake Wilaya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magaharibi [Picha na Iklulu] 09/07 2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipotembelea Mradi wa ujenzi wa matangi ya maji wa Exim Banki akiwa katika ziara yake Wilaya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magaharibi [Picha na Iklulu] 09/07 2021.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji safi na Salama ZAWA Dk.Salha Mohamed Kassim (katikati) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ( hayupo pichani) wakati alipotembelea Mradi wa ujenzi wa Matangi ya Maji wa Exim Banki akiendelea na Ziara yake katika Wilaya ya Magaharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Iklulu] 09/07 2021.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...