Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto (kushoto) akipokea nyaraka kutoka kwa aliyekuwa Msajili wa Hazina,  Athumani Mbuttuka wakati wa makabidhiano rasmi ya ofisi yaliyofanyika jana katika Ofisi ya Msajili wa Hazina, Dar es Salaam.  Benedicto ameteuliwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Msajili wa Hazina kuchukua nafasi ya Mbuttuka ambaye ameteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali. ( Picha na Ofisi ya Msajili wa Hazina).

 

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...