Makamu wa Rais  wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akisaini kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa
aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias John Kwandikwa ,
Kibaha Picha ya Ndege mkoani Pwani. Pembeni ni Mke wa Makamu wa Rais Bi.
Mbonimpawe Mpango. Agosti 4,2021.
Makamu wa Rais  wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akimfariji mke wa marehemu Elias John
Kwandikwa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Bi. Marceline
Kwandikwa pamoja na mtoto wa Marehemu (Kushoto) Jackline Kwandikwa Wakati
alipofika kuwapa faraja familia hiyo 
nyumbani kwa marehemu Kibaha Picha ya Ndege mkoani Pwani. Agosti 4,2021.
Makamu wa Rais  wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akizungumza na Naibu Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson Mwansansu wakati alipofika
nyumbani kwa marehemu Elias Kwandikwa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa, Kibaha Picha ya Ndege mkoani Pwani. Agosti 4, 2021.
Makamu wa Rais  wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akizungumza na waombolezaji waliojitokeza
nyumbani kwa marehemu Elias Kwandikwa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa, Kibaha Picha ya Ndege mkoani Pwani. Agosti 4, 2021.
Makamu wa Rais  wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa
Taifa Diwani Athuman Msuya mara alipowasili kuwapa pole kufuatia kifo cha kaka
wa Mkurugenzi huyo Bw. Bisward Msuya kilichotokea Agosti 3, 2021. 
Makamu wa Rais  wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  Akimfariji Bi. Lisa Msuya ambaye ni mke wa
marehemu Bisward Msuya mara alipofika kuitembelea familia hiyo eneo la Tangi
Bovu jijini Dar es salaam. Agosti 4, 2021.
Makamu wa Rais  wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango  akizungumza na waombolezaji waliojitokeza
nyumbani kwa marehemu Bisward Msuya ambaye ni kaka wa Mkurugenzi wa Usalama wa
Taifa Diwani Athuman Msuya. Agosti 4, 2021.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...