Bashiri na Meridianbet, Uwe Miongoni Mwa Mabingwa!
Baada ya michezo ya wiki ya kwanza
kunako soka barani Ulaya, wiki ya pili hii hapa! Burudani inaendelea wikiendi
hii ndani ya viwanja mbalimbali, Meridianbet
mambo yapo hivi;
Ijumaa hii tunaanzia kule Ubelgiji. Standard Liege kuchuana na KV Oostende kunako First Division A. Unaweza kuianza
wikiendi yako kwa kuifuata Odds ya 2.25 kwa Liege ukiwa na Meridianbet.
Jumamosi hii tutakuwa pole Villa Park katika muendelezo wa EPL. Aston Villa kuchuana na Newcastle United. Timu zote
mbili zilipoteza michezo yao ya kwanza, hii haimaanishi ni wanyonge. Tembelea Odds ya 1.95 kwa Aston Villa ndani ya Meridianbet.
Uhondo wa msimu mpya utanoga zaidi
pale Emirate Stadium. Naam! Ni London Derby katika wiki ya pili ndani
ya EPL. Arsenal vs Chelsea, vibe la
mchezo wa majirani huwa ni burudani ya aina yake. Usipotoshwe na matokeo ya
mchezo wa awali, lolote linaweza kutokea kwenye mchezo huu. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.85 kwa Arsenal
jumapili hii.
Wikiendi itahitimishwa kwa mtanange wa
West Ham United vs Leicester City. Miongoni mwa
timu ambazo zinatoa upinzani kwa miamba ya EPL,
basi timu hizi hazikosekani kwenye nafasi hizo. Dakika 90 kuamua – ni Brendan Rogers au David Moyes kuondoka
na pointi muhimu? Ifuate
Odds ya 2.55 ndani ya Meridianbet.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...