Mbunge wa Geita mjini, Mhe. Constantine Kanyasu (kushoto) akimsikiliza Mratibu wa Kituo cha Taifa cha Kudhibiti Sumu (NPCC) kutoka Mamlaka, Yohana Goshashy (katikati) akieleza majukumu ya Mamlaka na namna inavyowezesha wachimbaji wa madini katika kutekeleza kazi zao kwa usalama kutokana na matumizi ya kemikali baada ya Mbunge huyo kutembelea banda la Mamlaka kwenye maonesho ya nne ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini yaliyoanza tarehe 16 Septemba, 2021 katika Uwanja wa Kituo cha Uwekezaji, Bombambili mkoani Geita. Kulia ni Meneja wa Maabara ya Maikrobaiolojia, John Wanjala.

Meneja wa Maabara ya Maikrobaiolojia, John Wanjala (kulia) akiongea na mkazi wa Geita aliyetembelea banda la Mamlaka kwenye Maonesho ya nne ya Teknolojia na Uwekezaii kwenye Sekta ya Madini yaliyoanza tarehe 16 Septemba, 2021 katika Uwanja wa Kituo cha Uwekezaji, Bombambili mkoani Geita. Picha ya chini ni muonekano wa banda la Mamlaka.
Watumishi wa Mamlaka, Leah Kalinga (kushoto, picha ya kwanza) na Hadija Makurunge (kushoto picha ya pili) wakiongea na wadau waliotembelea banda la Mamlaka katika maonesho yanayoendelea mkoani Geita leo.


JUU: Mtumishi wa Mamlaka, Lowasa Kerika (kulia) akielezea taratibu za kufuata kwa ajili ya mwananchi anayehitaji kufanya uchunguzi wa Vinasaba vya Binadamu kwa wadau waliotembelea banda la Mamlaka. CHINI: Mratibu wa Kituo cha Taifa cha Kudhibiti Sumu, Yohana Goshashy (kushoto) akiongea na mdau aliyetembelea banda la Mamlaka leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...