Afisa wa Habari wa Shirika la Nyumba (NHC),Domina Rwemanyila akitoa maelezo kwa mwananchi Bi Maryam Abubakar aliyetembelea banda na Nhc katika Maonesho ya 4 ya Teknolojia na Uwekezaji Sekta ya Madini yanayoendelea katika viwanja vya Bombambili - EPZ wilayani Geita jijini Mwanza.
Bi. Maryam alifika katika banda hilo kwa lengo la kutaka kufahamu utaratibu wa ununuzi wa nyumba 300 zinazojengwa na NHC katika eneo la Iyumbu jijini Dodoma ambazo zinauzwa
NHC inashiriki maonesho hayo ambapo wakazi wa Geita na maeneo jirani wameonekana kuhitaji nyumba hizo na kulipongeza Shirika hilo kwa kazi nzuri inazofanya ktk kutekeleza miradi mbalimbali nchini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...