RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania Dk.Stergomena Tax (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 23-9-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.Dk.Stergomena Tax, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, na (kulia kwa Waziri) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo.Dkt.Faraj Mnyepe.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania.Dk. Stergomena Tax, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania Dk.Stergomena Tax, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar,23-9-2021.(Picha na Ikulu)



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...