RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Juma Yakuti Juma kuwa Naibu Katibu wa Baraza la Mapinduzi, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 16-9-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Suleiman Ali Suleiman kuwa Naibu Katibu Msaidizi wa Baraza la Mapinduzi (Sera,Ufuatiliaji na Tathimini) hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 16-9-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha.Dkt.Othman Abbas Ali kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi.Mgeni Khatib Yahya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Khatib Juma Mjaja kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Hamad Omar Bakari kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika leo 16-9-2021 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wanafamilia wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibini na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Vionfgozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman akihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani ) (na kulia) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid wakifuatilia hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar wakisubiri kuapishwa.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...