Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza
na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la biashara duniani (WTO) Bibi Ngozi Okonjo
Iweala, walipokutana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa
Mataifa UN Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 21,2021. PICHA NA IKULU.
-Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais
wa Benki ya Dunia Bw. David Malpass, walipokutana katika ufunguzi wa mkutano wa
76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN Jijini New York Nchini Marekani leo
Sept 21,2021.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...