Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais
wa Baraza la Ulaya Mhe. Charles Michael, walipokutana Jijini New York Nchini Marekani
leo Sept 22,2021. Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Baraza la Ulaya Mhe. Charles Michael,
walipokutana Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 22,2021. PICHA NA IKULU.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...