Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Christina Mndeme akizungumza na wakazi wa Kata ya Magazini, Namtumbo ambapo aliwaeleza wananchi hao kuwa Serikali imetoa shilingi milioni 520 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Afya Magazini.
Naibu Katibu Mkuu yupo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma ikiwa sehemu ya ziara ya kukagua, kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020/2025.( Picha na Adam Mzee/ CCM Makao Makuu).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...