SHIME Shime Tupigie kura bendi ya Ngoma Africa Band yenye makao yake Ujermani ambayo ipo katika kinyang'anilo cha kuwania bendi bora ya kiafrika nchini ujerumani,bendi hiyo inayoongozwa na mtanzania Ras Makunja.
Kinachotakiwa ni kubofya link na kuipigia kura The Ngoma Africa band
Tafadhari click the link and vote for Ngoma Africa Band
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...