Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Mathew M. Kirama akisaini nyaraka za wakati wa Mkutano wa Tume ulioanza leo Jijini Dodoma, kulia ni Kamishna wa Tume Mhe. Balozi (Mst.) John M. Haule, kushoto(aliyesimama ni Bw. Edwin E. Kalisa, Afisa Mwandamizi wa Tume. (Picha na PSC).
Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mhe. Jaji Rufaa (Mst.) Dkt. Steven J. Bwana (kushoto) akizungumza jambo na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bw. Mathew M. Kirama (kulia) , leo Jijini Dodoma kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Tume. (Picha na PSC).
MAKAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA: Kamishna wa Tume Mhe. Balozi (Mst.) John M. Haule (kushoto) akisalimiana na Kamishna wa Tume Mhe. Khadija A. M. Mbarak, leo Jijini Dodoma, kabla ya Mkutano wa Tume ya Utumishi wa Umma ulioanza leo tarehe 25 Oktoba 2021. (Picha na PSC).
Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa UmmaJaji Rufaa (Mst.) Mhe. Dkt. Steven J. Bwana (kulia) akisalimiana na Kamishna wa Tume, Mhe. George Yambesi, kabla ya Mkutano wa Tume ulioanza leo Jijini Dodoma, wengine kushoto kwa Kamishna George Yambesi ni Waheshimiwa Makamishna wa Tume Alhaj Yahya Mbila na Mhe. Immaculate Ngwalle. ( Picha na PSC).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...