Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kijiji cha Milola wakati alipokagua eneo la ujenzi wa daraja linalounganisha kijiji cha Milola na Nangalu katika jimbo la Mchinga Mkoani Lindi, Oktoba 26, 2021. Kushoto ni Mbunge wa Mchinga Mama Salma Kikwete na wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi wakati alipowasili kwenye kijiji cha Milola katika Jimbo la Mchinga mkoani Lindi kukagua eneo la ujenzi wa daraja linalounganisha kijiji cha Milola na Nangalu, Oktoba 26, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Wananchi wa Mchinga wakishangilia wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipowasalimia katika kijiji cha Milola baada ya kukagua eneo la uhjeozi wa daraja linalounganisha kijiji cha Milola na Nangalu katika jimbo la Mchinga Mkoani Lindi, Oktoba 26, 2021. Kushoto ni Mbunge wa Mchinga Mama Salma Kikwete na wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...