Katibu Tawala wa Wilaya ya Tunduru Augustino Maneno (katikati) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa duka la Vodacom wilaya Tunduru kwenye hafla iliyofanyika wilayani humo leo. Vodacom Tanzania Plc imezindua duka hilo wilayani Tunduru ikiwa ni juhudi za kuhakikisha wanaleta huduma bora karibu na wateja wake. Kulia ni Mkuu wa Mauzo wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen na kushoto ni Mshirika wa kibiashara Emmanuel Makaki.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc wilaya ya Tunduru wakifurahi kuzinduliwa kwa Vodacom Shop wilayani humo.
Mmoja wa wahudumu wa duka la Vodacom Shop wilayani Tunduru Coleta Chuwa akimhudumia moja ya wateja wa kampuni hiyo baada ya kuzindua duka la Vodacom Shop wilayani humo ikiwa ni juhudi za kuhakikisha wanaleta huduma bora karibu na wateja wake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...