Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Mussa Zungu akiongoza mafunzo kuhusu Mbinu na Stadi za Uchambuzi wa Miswada ya Sheria yaliyofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Oktoba 31, 2021.


Muhasilishaji, Wakili Harold Sungusia akitoa mafunzo kwa Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kuhusu Mbinu na Stadi za Uchambuzi wa Miswada ya Sheria yaliyofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma


Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakifuatilia mafunzo kuhusu Mbinu na Stadi za Uchambuzi wa Miswada ya Sheria yaliyotolewa leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma


Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Faharia khamis akichangia jambo wakati wa mafunzo kuhusu Mbinu na Stadi za Uchambuzi wa Miswada ya Sheria yaliyofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma


Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo, Mhe. Ridhiwani Kikwete akiongoza mafunzo kuhusu Mbinu na Stadi za Uchambuzi wa Miswada ya Sheria kwa kamati za Sheria Ndogo na Katiba na Sheria yaliyotolewa leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma


Wajumbe wa Kamati za kudumu za Bunge za Sheria Ndogo na Katiba na Sheria wakimsikiliza Muhasilishaji, Wakili Harold Sungusia akitoa mafunzo kuhusu Mbinu na Stadi za Uchambuzi wa Miswada ya Sheria yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma


Mwenyekiti wa Bunge na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Najma Giga akifuatilia kwa makini mafunzo kuhusu Mbinu na Stadi za Uchambuzi wa Miswada ya Sheria yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Oktoba 31, 2021.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...