Ofisa Fedha Mkuu wa Benki ya Absa Tanzania, Obedi Laiser (kulia),
akizungumza na baadhi ya maofisa wa benki hiyo wakati wa ufunguzi rasmi wa
maonesho ya Wiki ya Huduma za Kifedha katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es
Salaam, jana. Kutoka kushoto ni, Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Aron Luhanga,
Meneja Mahusiano Wateja Maalumu, Veronica Magoyane, Meneja Kitengo cha Wateja
Maalumu, Agnes Paul Mushi na Mkuu wa Kitengo cha Biashara, Melvin Saprapasen..Mkuu wa Kitengo cha Bima wa Benki ya Absa,
Sandeep Chavda (kushoto) akiwa na Mfanyabashara, Anic Kashasha
wakati akitembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya wiki ya huduma ya
fedha kitaifa yanayoendelea katika
viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meneja wa Kitengo cha
Wateja Maalum, Agnes Mushi.
Mkuu wa Kitengo cha Bima wa Benki ya Absa, Sandeep Chavda (kulia) akitoa maelezo kwa mfanyabiashara Thomas Masamaki kuhusu huduma za bima zinazotolewa na Absa wakati was a benki hiyo katika maonesho ya wiki ya huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Wengine ni maofisa wa benki hiyo.Meneja wa Kitengo cha Wateja Maalum, Agnes Mushi (kushoto) akizungumza na mfanyabiashara Kawembe Hashimu wakati akitembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya wiki ya huduma za kifedha uanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Wengine ni maofisa wa benki hiyo.Meneja Uhusiano wa wa Benki ya Absa, Victor Nchimbi (kulia) akitoa maelezo ya huduma za kibenki kwa mmoja wa wafanyabiashara waliotembelea katika banda la benki hiyo, Charles Mishetto wakati wa maonesho ya wiki ya huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Wengine ni maofisa wa benki hiyo.
Meneja Kitengo cha Mauzo wa Benki ya Absa, Fabian (katikati), akitoa maelezo kuhusu faida za akaunti ya Absa Junor Eagle kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Msimbazi walipotembelea banda la benki hiyo wakati wa maonyesho ya Wiki ya Huduma za Kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Kulia kwake ni Mkuu wa Mauzo, John Maganga na kushoto ni Bahati Mwakaje wa kitengo hicho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...