Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi (wa pili kulia) akionyesha tuzo maalum iliyotolewa na MasterCard baada ya kuipokea kutoka kwa Meneja Mkazi wa MasterCard - Afrika Mashariki, Shehryar Ali (wa pili kulia), Benki ya NMB imetwaa tuzo hiyo kutokana na kuwa Benki kiongozi katika matumizi ya Kadi hapa nchini. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Kadi wa Benki ya NMB, Philbert Casmir na kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa MasterCard Afrika Mashariki, Victor Ndlovu
Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi (katikati) na Meneja Mkazi wa MasterCard - Afrika Mashariki, Shehryar Ali (wa nne kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wengine wa Benki ya NMB na MasterCard, katika hafla fupi ya kupokea tuzo hiyo, leo kwenye makao makuu ya NMB, jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...