Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangassa (kulia), akisaini kwenye kitabu cha wageni  alipotembelea banda la Benki ya Biashara Tanzania (TCB), wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika viwanjani hapo leo. ambapo katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali,

Mkurugenzi wa Masoko na ukuzaji biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania TCB Deo Kwiyukwa (kulia), akizungumza na Meneja Masoko wa kampuni ya simu ya Vodacom kitengo cha Mpesa Noel Mazoya  wakati alipotembelea banda la benki hiyo wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika viwanjani hapo leo. ambapo katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali, kushoto ni Meneja Mahusiano wa Benki ya TCB Geace Majige

 

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangassa (kulia), akipokea zawadi kutoka kwa Meneja uwendeshaji Matawi wa Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB), alipotembelea kwenye banda  lao, wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika viwanjani hapo leo. ambapo katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali, wengine ni Maofisa wa Benki hiyo.

 

Meneja masoko wa Benki ya Biahara ya Tanzania TCB Gloria Mutta (kushoto), akitoa maelezo kwa mteja alietembelea banda la benki hiyo wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika viwanjani hapo leo. ambapo katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali, katikati ni Meneja Mahusiano wa Benki ya TCB Geace Majige

                                             

Mkurugenzi Mtendaji wa banki ya biashara Tanzania (TCB)   Sabasaba   Mushingi akizungumza na wanahabari wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika viwanjani hapo leo. ambapo katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali,
:Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangassa (kulia), akizungumza na wafanyakazi wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), alipotembelea kwenye banda la lao, wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika viwanjani hapo leo. ambapo katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali,

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...