Mgeni rasmi Diwani wa Kata ya Mbezi Juu,Anna Lukindo akitoa hotuba yake wakati wa mahafali ya kwanza ya Shule ya sekondari Mbezi Juu leo tarehe 07 Novemba, 2021 jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shule Mbezi Juu Secondary,Beatus Peter Segeja akitoa hotuba yake wakati wa mahafali ya kwanza ya Shule ya sekondari Mbezi Juu leo tarehe 07 Novemba, 2021 jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Mkuu wa shule ya sekondari Mbezi Juu,Mwalimu Juma Kasisi Lighton akizungumza na wanafuzi na wazazi wakati wa mahafali ya kwanza ya shule hiyo leo tarehe 07 Novemba, 2021 ambapo amesema wanafunzi wa shule hiyo wameonesha heshima/nidhamu kubwa kwa kipindi chote walichokuwa shuleni kwa muda wa miaka 4 na kutumia fursa hiyo kuwataka wakaoneshe nidhamu nzuri kwa wazazi wao pia.
Mgeni rasmi Diwani wa Kata ya Mbezi Juu,Anna Lukindo (kushoto) akikata keki wakati wa mahafali ya kwanza ya Shule ya sekondari Mbezi Juu leo tarehe 07 Novemba, 2021 jijini Dar es Salaam.(katikati)Mkuu wa shule ya sekondari Mbezi Juu,Mwalimu Juma Kasisi Lighton (kulia)Mwenyekiti wa Bodi ya Shule Mbezi Juu Secondary,Beatus Peter Segeja.
Mgeni rasmi Diwani wa Kata ya Mbezi Juu,Anna Lukindo akimlisha keki Mkuu wa shule ya sekondari Mbezi Juu,Mwalimu Juma Kasisi Lighton leo tarehe 07 Novemba, 2021 jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shule Mbezi Juu Secondary,Beatus Peter Segeja akimlisha keki Mgeni rasmi Diwani wa Kata ya Mbezi Juu,Anna Lukindo kwenye mahafali ya kwanza ya Shule ya sekondari Mbezi Juu leo tarehe 07 Novemba, 2021 jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Diwani wa Kata ya Mbezi Juu,Anna Lukindo akiwakadhi vyeti baadhi ya wanafunzi wakati wa Mahafali ya kwanza ya Shule ya sekondari Mbezi Juu leo tarehe 07 Novemba, 2021 jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wa kidato cha nne wa Shule sekondari Mbezi Juu wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam wakiingia kwenye uwanjani hayo kwa mbwembwe mbele ya Diwani wa Kata ya Mbezi Juu,Anna Lukindo leo leo tarehe 07 Novemba, 2021.
Sehemu ya wanafunzi.
Sehemu ya wazazi na walezi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...