Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 05 Novemba 2021 amemtembelea na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete Ofisi kwake Masaki Dar es salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango (wa katikati) mara baada ya kumaliza mazungumzo yao ofisini kwa Dkt. Kikwete Masaki Dar es salaam. Novemba 5,2021 PICHA – OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...