Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mzee Philip Mangula ameongoza upandaji miti 1200 katika Shule ya Msingi Nala jijini Dodoma.
Mradi huo wa upandaji miti umeratibiwa na Taasisi ya Habari Development Association.kwa udhamini wa Benki ya Stanbic ambayo pia imeahidi kuchimba kisima kwa ajili ya maji ya kumwagilia miti hiyo pamoja matumizi mengine katika shule hiyo ya Nala..
Viongozi mbalimbali walishiriki kupanda miti hiyo ambao ni Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda, Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Dkt. Fatma Mganga, Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, viongozi wa chama wa mkoa huo na wilaya pamoja na watumishi wa benki hiyo.
Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda akipanda mti.
Mzee Pinda akijaza udongo katika shimo baada ya kupanda.
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Dkt Fatma Mganga akipanda mti.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt Best Magoma akipanda mti.
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Dkt Mganga akizungumza na wanafunzi wa shule ya Msingi Nalla na kuwataka wawe na mazoea ya kupanda miti na kuitunza ili isife.
Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Pili akisaidiana na Ofisa wa Benki ya Stanbic Omar Mtega kupanda mti.
Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde akipanda mti.
Mzee Pinda akiondoka huku akisindikizwa na Ofisa wa Benki ya Stanbic, Omar Mtega pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari, Bernard James (kulia).
Pinda akikabidhiwa zawadi na Ofisa wa Stanbic, Omar Mtega.
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nala.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari Development Association, Bernard James akihimiza wananchi kuunga mkono juhudi za kupata miti kuijanisha Dodoma.
Wanafunzi wakiimba wimbo wa mazingira unaohimiza kupanda miti.
Mzee Mangula akimsikiliza mwanafunzi wa darasa la sita akisoma Ilani ya CCM inayoelezea mambo ya uhifadhi wa mazingira nchini.
Mzee Pinda akihutubia baada ya kupanda miti.
Mzee Mangula akikabidhiwa zawadi.
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Dkt Maganga akikabidhiwa zawadi.
Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Pili akikabidhiwa zawadi.
Mbunge Mavunde akikabidhiwa zawadi.
Mzee Mangula akiondoka huku akisindikizwa na Omar Mtega pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari, Bernard James (kushoto).
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video ujionee upandami miti na kusikiliza nasaha za viongozi kuhusu uhifadhi wa mazingira kwa kupanda miti....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...