Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Christopher Kadio akisalimiana na Maofisa Wakuu wa Polisi kabla ya kufungua Mkutano wa Maafisa Wanadhimu wa mikoa, Wakuu wa Usalama barabarani wa mikoa na Wahasibu wa Polisi unaofanyika Mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kutathmini mfumo wa ukusanyaji mapato ya Serikali kwa njia ya mtandao. (Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Christopher Kadio akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Maafisa Wanadhimu wa mikoa, Wakuu wa Usalama barabarani wa mikoa na Wahasibu wa Polisi unaofanyika Mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kutathmini mfumo wa ukusanyaji mapato ya Serikali kwa njia ya mtandao.
Kamishna wa Fedha na Lojistiki Hamad Hamis Hamad akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Maafisa Wanadhimu wa mikoa, Wakuu wa Usalama barabarani wa mikoa na Wahasibu wa Polisi unaofanyika Mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kutathmini mfumo wa ukusanyaji mapato ya Serikali kwa njia ya mtandao. (Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi.
Maafisa
Wanadhimu wa mikoa, Wakuu wa Usalama barabarani wa mikoa na Wahasibu wa Polisi
wakiwa katika mkutano wao ulioanza leo Mkoani Kilimanjaro kwa lengo la
kutathmini mfumo wa ukusanyaji mapato ya Serikali kwa njia ya mtandao.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Christopher Kadio akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Maafisa Wanadhimu wa mikoa, Wakuu wa Usalama barabarani wa mikoa na Wahasibu wa Polisi unaofanyika Mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kutathmini mfumo wa ukusanyaji mapato ya Serikali kwa njia ya mtandao.
Kamishna wa Fedha na Lojistiki Hamad Hamis Hamad akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Maafisa Wanadhimu wa mikoa, Wakuu wa Usalama barabarani wa mikoa na Wahasibu wa Polisi unaofanyika Mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kutathmini mfumo wa ukusanyaji mapato ya Serikali kwa njia ya mtandao. (Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi.
(Picha
na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...