Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi kwa ajili ya kuifungua madrasa hiyo leo.[Picha na Ikulu] 13/11/2021.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia)  akiwasalimia  wanafunzi waliohudhuria katika hafla ya sherehe ya Ufunguzi wa  Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi leo (kulia) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.[Picha na Ikulu] 13/11/2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifungua pazia akiwa mgeni rasmi  katika  sherehe ya Ufunguzi wa  Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi leo wakiwepo na Mwalimu Mkuu wa madrasa hiyo   Sheikh Hemed Suleiman na Mwakilishi  wa Jimbo la Mfenesini Mhe.Machano Othman Said (kulia) [Picha na Ikulu] 13/11/2021.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuifungua  Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi leo (kushoto)  Mwalimu Mkuu wa madrasa hiyo   Sheikh Hemed Suleiman na Mwakilishi  wa Jimbo la Mfenesini Mhe.Machano Othman Said (kulia) [Picha na Ikulu] 13/11/2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Muanzilishi wa Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi  Bibi Mariam Omar Mohamed (katikati) mara baada ya kufungua madrasa hiyo leo .[Picha na Ikulu] 13/11/2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi  Sheikh Hemed Suleiman (kulia) alipotembelea vyumba mbali mbali mara baada ya kuifungua rasmin leo,akiwepo na Katibu wa Mufti Sheikh Khalid Ali Mfaume (kushoto) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na    Mwakilishi  wa Jimbo la Mfenesini Mhe.Machano Othman Said (wa pili  kulia). [Picha na Ikulu] 13/11/2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea Risala ya Ufunguzi wa   Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi  kutoka kwa msomaji Suleiman Mohamed Othman wakati hafla ya ufunguzi na sherehe zikiendelea .[Picha na Ikulu]13/11/2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya  ufunguzi wa  Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi, mbele ya Waalimu,Wazee,waalikwa mbali mbali na Wanafunzi walihuodhuria katika sherehe hiyo leo.[Picha na Ikulu]13/11/2021.  

Miongoni mwa Wanafunzi 52 wa Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi, wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani)alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi katika viwanja vya madrsa hiyo leo,[Picha na Ikulu]13/11/2021.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa  Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi, Sheikh Hemed Suleiman katika sherehe za ufunguzi uliofanyika  leo.[Picha na Ikulu]13/11/2021.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi Cheti Mwanafunzi Nadya  Haroub Nassor akiwa ni miongozi mwa Wanafuzi 52 waliohifadhi vizuri Juzuu 30 za Quran katika madrasa hiyo wakati wa Sherehe  ya Ufunguzi wa   Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi  alipoifungua leo.[Picha na Ikulu]13/11/2021. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...