Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa 20 wa Taasisi za Kifedha Nchini wenye lengo la kupitia na kutatua changamoto mbalimbali katika sekta hiyo. Mkutano huo umefunguliwa leo tarehe 25 Novemba, 2021 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...