Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi huduma ya MRI katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Viwanja vya Hospitali ya Bugando kwa ajili ya Jubilei ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuzindua rasmi Mnara wa Kumbukumbu ya Jubilei  Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Maaskofu wa Hospitali ya Bugando mara baada ya kuzindua rasmi Mnara wa Kumbukumbu ya Jubilei Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye Jubilei ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...