Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia
katika Mkutano wa 26 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa
kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi COP26 unaoendelea katika Mji
wa Glasgow, Scotland leo tarehe 02 Novemba, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuka
kwenye jukwaa mara baada ya kuhutubia katika Mkutano wa 26 wa Nchi
Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi
COP26 unaoendelea katika Mji wa Glasgow, Scotland leo tarehe 02
Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mkutano wa 26 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi COP26 unaoendelea katika Mji wa Glasgow, Scotland leo tarehe 02 Novemba, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberatha Mulamula pamoja na Waziri wa nchi
Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo mara
baada kuhutubia katika Mkutano wa 26 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa
Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi COP26 unaoendelea katika
Mji wa Glasgow, Scotland leo tarehe 02 Novemba, 2021. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...