Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O'Nell wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar leo kujitambulisha.Picha na Ikulu] 08/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O'Nell alipofika kujitambulisha Ikulu jijini Zanzibar .Picha na Ikulu] 08/11/2021.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...