RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalishughulika na Masuala ya Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake (UN WOMEN) Bi.Hodan Addou, wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marian Mwinyi na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto) Mwakilishi Mkaazi wa UN Nchini Tanzania.Bw.Zlatan Millisic.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimia na Mwakilishi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw. Zlatan Millisic na Mwakilishi wa Shirika la UN linaloshughulika na Masuala ya Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake (UN WOMEN) Bi. Hodan Addou, walipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe”


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Zlatan Millisic, wakiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe”.

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe” iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar


BAADHI ya Mawairi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanbzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya “HeforShe” iliozinduliwa katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...