Afisa Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Mh:Juma Ali Salum{mwenye miwani} akiagana na watanzania waliofika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zaventem nchini Ubelgiji kumsindikiza ndugu Othman{mwenye kofia} aliyefiwa na mkewe siku ya jumapili nchini Luxembourg.Ubalozi wa Tanzania ulifika uwanjani hapo kuhakikisha raia wake hapati usumbufu wowote na walimsaidia mpaka mwisho aliposafiri.




Pichani kaimu balozi nchini Ubelgiji Mh:Juma Ali Salumu{kushoto}aliyefika uwanja wa ndege Zaventem nchini Ubelgiji kuhakikisha mtanzania aliyefiwa na mkewe nchini Luxembourg ndugu Othman{Pichani wa tatu kutoka kushoto}anampatia msaada stahiki ili asafiri na mwili wa marehemu mkewe kwenda nyumbani Tanzania bila usumbufu.



Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji wameupongeza ubalozi wa Tanzania nchini hapo kwa hatua zote walizosaidia mpaka mwili wa marehemu kusafiri.

Shukrani za pekee kwa Mh:Balozi Jestas Abouk Nyamanga

Kaimu Balozi Mh: Juma Ali Salum,

Watanzania wote nchini Luxembourg,Watanzania wote nchini Uingereza,Watanzania wote nchini Ujerumani,Watanzania wote nchini Tanzania Bara na Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...