Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, kushoto kwake ni Naibu Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo na kulia kwake ni Kamishna Msaidizi wa
Polisi ACP Mkadam Mkadam ambae ni Afisa Mnadhimu wa Kikosi cha Usalama
Barabarani wakiwa katika picha ya pamoja na Wadau mbalimbali katika uzinduzi
(MOTORCYCLE BUFFER ZONE) katika eneo la Sanawari mkoani Arusha.(Picha na Jeshi
la Polisi).
Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe, George Simbachawene, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi, Khamis Hamza Chilo na Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Mkadam Mkadam, ambae
ni Afisa Mnadhimu wa Kikosi cha Usalama Barabarani na Wadau mbalimbali wakikata
utepe katika uzinduzi wa mchoro wa Barabarani unaoonesha eneo maalum la
kusimama Pikipiki (MOTORCYCLE BUFFER ZONE) katika eneo la Sanawari mkoani
Arusha.(Picha na Jeshi la Polisi).
Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Simbachawene akisalimiana na moja wa madereva Bodaboda
kabla ya uzinduzi wa kivuko cha mchoro wa Barabarani unaoonesha eneo Maalum la
Kusimama Pikipiki (MOTORCYCLE BUFFER ZONE) katika eneo la Sanawari mkoani
Arusha. (Picha na Jeshi la Polisi).


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...