Meneja Chapa Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo akizungumza na wahudhuriaji wa tamasha la Christmas Carols 2021 ambalo hufanyika kila mwaka katika kusherehekea msimu wa sikukuu za Christmas. Tamasha hilo lililoandaliwa na Clouds Media Group kwa kushirikiana na Coca-Cola Tanzania ambapo wasanii mbalimbali wa muziki wa injili walitumbuiza katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Flava nchini Tanzania, Barnaba (kulia) pamoja na msanii wa injili, Ambwene Mwasonge (kushoto) wakitumbuiza jukwaani wakati wa tamasha la Christmas Carols 2021 ambalo hufanyika kila mwaka katika kusherehekea msimu wa sikukuu za Christmas. Tamasha hilo lililoandaliwa na Clouds Media Group kwa kushirikiana na Coca-Cola Tanzania ambapo wasanii mbalimbali wa muziki wa injili walitumbuiza katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Msanii nyota wa muziki wa injili nchini Tanzania, Clement Paul akitumbuiza jukwaani wakati wa tamasha la Christmas Carols 2021 ambalo hufanyika kila mwaka katika kusherehekea msimu wa sikukuu za Christmas. Tamasha hilo lililoandaliwa na Clouds Media Group kwa kushirikiana na Coca-Cola Tanzania ambapo wasanii mbalimbali wa muziki wa injili walitumbuiza katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Msanii nyota wa muziki wa injili nchini Tanzania, Joel Lwaga akitumbuiza jukwaani wakati wa tamasha la Christmas Carols 2021 ambalo hufanyika kila mwaka katika kusherehekea msimu wa sikukuu za Christmas. Tamasha hilo lililoandaliwa na Clouds Media Group kwa kushirikiana na Coca-Cola Tanzania ambapo wasanii mbalimbali wa muziki wa injili walitumbuiza katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.



Baadhi ya wahudhuriaji wa tamasha la Christmas Carols 2021 wakizungusha gurudumu la bahati ili kujishindia zawadi kutoka kampuni ya Coca-Cola ikiwa ni sehemu ya kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ inayoendelea nchini kote.  Tamasha hilo lililoandaliwa na Clouds Media Group kwa kushirikiana na Coca-Cola Tanzania ambapo wasanii mbalimbali wa muziki wa injili walitumbuiza katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.


 




 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...