Uongozi wa Klabu ya GEITA GOLD umeingia mkataba wa mwaka mmoja na Kampuni ya GGML wenye gharama ya shilingi milioni mia tano (Tsh 500,000,000)

Mktaba huo utahusika katika masuala kadhaa ikiwamo ununuzi wa Basi la kisasa litakalotumika na timu hiyo,kununua vifaa vya kisasa vya kimichezo.

GGML anakuwa mdhamini wa Timu ya Geita gold AMBAPO GGML itakuwa na Nembo yake katika Jezi ya timu hiyo akiwa mdhamini Mkuu.

Uongozi wa Geita Gold Chini ya Mwenyekiti wa timu na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita Zahara Michuzi wamemuhakikishia Mdhamini huyo udhamini huo utainufisha timu hiyo na taratibu zote za kumlinda mdhamini zitafanyika.

Imetolewa na Idara ya Habari ya GEITA GOLD FC.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...