Mkurugenzi
wa Mawasiliano na Uhusiano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn
Mworia (katikati ) akichangia mada ya huduma jumuishi za kifedha kwenye
kongamano la takwimu (Data Tamasha 2021) kupitia huduma ya M-Pesa, jinsi
ambavyo wanafanya malipo kidijitali na kuchangia pato la Taifa. Wengine
kulia ni Mike Shaka kutoka Nilipe na Mtaalam wa Taarifa na Takwimu
kutoka NMB, Timiebi Itanisa.
Mkuu
wa Idara ya mifumo ya Kidijitali Vodacom Tanzania PLC (head of
digital platform & IOT), Yvonne Bayona akichangia mada ya Kilimo
kupitia Vodacom M-Kulima kwenye kongamano la takwimu (Data Tamasha
2021) linaloendelea Ndani ya ndaki ya Teknolojia ya Habari na
Mawasiliano (CoICT), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam .
Mkurugenzi
wa huduma za Kidijitali Vodacom Tanzania PLC, Nguvu Kamando akichangia
mada kwenye kongamano la takwimu (Data Tamasha 2021) jinsi ambavyo
Vodacom inaifikia jamii kupata huduma za kidijitali
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...