Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Awamu ya Pili ya Ujenzi wa Ofisi za katika Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma, Desemba 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama, cheti cha kutambua mchango wake katika kufanikisha mpango wa serikali kuhamia Dodoma wakati Waziri Mkuu alipozindua Awamu ya Pili ya Ujenzi wa Ofisi za Serikali katika Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma, Desemba 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...