Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bw. Eric Hamissi amekabidhiwa na Wanamichezo wa TPA Kombe la Ushindi wa Jumla la Michezo ya SHIMMUTA 2021 mara baada ya TPA kuibuka mabingwa wa jumla wa Michezo hiyo iliyomalizika mjini Morogoro hivi karibuni. Katika picha ni matukio mbalimbali kuhusiana hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika Makao Makuu ya TPA Alhamisi Desemba 02, 2021.







Picha za ushindi za wafanyanyakazi  na mkurugenzi Mkuu.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...